KIDT-VTC COURSES

KIDT-VTC MOSHI  VTC  ni chuo cha SERIKALI chini ya ofisi ya Mkuu wa mkoa wa KILIMANJARO

Wanafunzi wetu wanaweza fanya mitihani ya chuo na kupata cheti kinacho tambulika na pia kufanya Mitihani ya Taifa ya Msingi (National Based Exams) na Tathmini ya Msingi ya Uwezo (Competence Based Assessments). Kwa kuzingatia ukweli, kwamba chuo  kimekuwa kwa zaidi ya miaka 10, hatuna budi kusema kwamba chuo kimekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya mkoa na Tanzania kwa ujumla, na tutaendelea kufanya hivyo. Chuo hasa kinahamasisha na kuwasaidia vijna kuendela kusoma kozizao kwa njia ya mtndao na kutumia tovuti hii kuiifunza kwa kuuatia mtiririko wa kozi zetu kama unavyo elezewa  hapa chin.

KOZI NA MAELEZO YA KILA MOJA YANAPATIKA HAPA-SOMA !!!

UFUNDI UMEME  MAJUMBANI/VIWANDANI(ELECTRICAL INSTALLATION)

LEVEL 1

LEVEL 2

LEVEL 3

UMEME WA MAJUMBANI L1

UMEME WA MAJUMBANI L2

MAFUNZO YA UMEME WA MAGARI (AUTO ELECTRICAL)

LEVEL 1

LEVEL 2

LEVEL 3

MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI (MOTOR VEHICLE MECHANICS)

LEVEL 1

LEVEL 2

LEVEL 3

ELECTRONICS

LEVEL 1

LEVEL 2

LEVEL 3

PLUMBING AND PIPE FITTING

LEVEL 1

LEVEL 2

LEVEL 3

UFUNDI UJENZI (MASONRY AND BRICK LAYING)

LEVEL 1

LEVEL 2

LEVEL 3

WELDING AND METAL FIBRICATION

LEVEL 1

LEVEL 2

LEVEL 3

USHONAJI-UBUNIFU WA MAVAZI (DESIGN SEWING – CLOTHING TECHNOLOGY)

LEVEL 1

LEVEL 2

LEVEL 3

MAFUNZO YA UDEREVA MAGAI NA VYOMBO VYA MOTO (DRIVING COURSE)

 

LEVEL 2

LEVEL 3

UFUNDI PICKPICK  NA BAJAJI (MOTOR CYCLE MECHANICS)

LEVEL 1

LEVEL 2

LEVEL 3

MAFUNZO YA LUGHA YA KIINGEREZA(ENGLISH COURSE) 

LEVEL 1-AWALI

LEVEL 2-KATI

MAWASILIANO

USEREMALA NA UUNDAJI  (CARPENTRY)

LEVEL 1

LEVEL 2

LEVEL 3

MAFUNZO YA TEHAMA NA UFUNDI COMPUTER (ICT AND PC TECHNICIAN)

LEVEL 1

LEVEL 2

LEVEL 3

MASOMO YA LAZIMA KWA WANAO SOMA MUDA MREFU-LEVELE 1-3

COMMUNICATION SKILLS

TECHNICAL DRAWING

ENGINEERING MATH

LIFE SKILLS

COMPUTER APPLICATION

Mbali na masomo ya lazima, wanafunzi wetu wanahuzuria mafunzo ya vitendo mara mbili kwa mwaka na kufundishwa namna ya kufungua biashara zao kutokana na aujuzi walio pata.

Vifaa

CHUO Kina vifaa mbalimbali kwa lengo la kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi wetu. Miongoni mwa vifaa hivyo ni maabara ya kompyuta   vifaa vya ushonaji, karakana mbili kwa ajili ya wanafunzi wa useremala, na karakana ya ufundi wa magari. Pia tuna bweni kwa wasichana, na wavulana ambalo linawawezesha kukaa chuoni.wakati wote wa masomo.