MASOMO KWA MTANDAO

DIGITAL COURSE – Mafunzo kwa njia ya mtandao!

  1. DIGITAL COURSE ni nini?

DIGITAL COURSE ni mfumo wa kwanza wa mafunzo ya ufundi studi na TEHAMA  kwa njia ya mtandao Tanzania. Umeanzishwa kwa ushirikiano kati ya asasi yetu-TAREO, Moshi Institute of Technology na KIDT VTC Moshi na sasa tupo katika hatua za kushirikisha Mamlaka ya elimu ya ufundi Tanzania (VETA) pamoja na wadau wengine.

.
DIGITAL COURSE yaani MAFUNZO  KWA MTANDAO  unajifunza  kupitia mtandao na badae kwa program tumishi (application) itakayo  kuwezesha kupata mafunzo yanayotolewa na Vyuo vilivyo chini ya VETA kupitia computer,simu au mtandaoni kwa kufuata syslubus na Curriculum ya VETA

  1. DIGITAL COURSE inapatikana wapi?

DIGITAL COURSE inapatikana kupitia tovuti yetu (www.tareo,youtube,google  na badae kwa simu yako ya mkononi ya kisasa (Smart Phone), katika moja ya programu tumishi (Applications) ambazo hupatikana katika “Play Store”?

  1. Jinsi gani Mafunzo hutolewa kwa DIGITAL COURSE?

Unapo ingia kwenye tovuti yetu au sehemu yenye masomo yetu kwa mtandao  utatakiwa kujisajili. Ukishakamilisha taratibu zote, na kuchagua kozi unayotaka kusoma, utaanza kusoma. Pia utatakiwa kujibu maswali yatakayotolewa katika kuendelea kujifunza. Baada ya kumaliza kusoma,hatua ya pili ni kufuata maelekezo ya mafunzo na mazoezi ya citendo (Practical work),Bada ya kumaliza module zote kwa  utatakiwa kujisajili kwa ajili ya  kufanya mitihani ya taifa ya VETA  kwetu au chuo chochote kilicho karibu nawe .Vyuo na tasisi zetu zinatoa nafasi ya  kupata mafunzo ya Vitendo na kufanya mtihani. Ukishafaulu hapo, utapewa cheti cha kuhitimu.

  1. Ninatakiwa kuwa na nini ili kusoma kwa njia ya DIGITAL COURSE?-Unatakiwa kuwa na computer yenye mtandao au simu ya kisasa (Smart Phone)

Nitapataje Maelezo zaidi kuhusu DIGITAL COURSE?

Tafadhali piga namba zifuatazo kupata maelezo zaidi ya namna ya kujiunga na kozi zinazotolewa kwa njia ya DIGITAL COURSE.
KWA MAWASILIANO-KIDT VTC MOSHI :

TUPO MOSHI MJINI SUKARI ROAD: TUNATAZAMANA NA KIWANDA CHA SERENGETI BREWARIES
AU TUPIGIE SIMU NO:0766 415 696 /0679 12 06 19  /0678093637
KWA MAWASILIANO-MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY-MIT

TUPO MTAA WA RINDI-MITAA 500 TOKA STAND KUU YA MABASI-TUNATAZAMANA NA UHURU PACK AU HOSPITALI YA KILIMANJARO
SIMU:   0766 415 696 …..0678 09 3637……0756 020 696…..065524 1914..